Thebm GypsumPro FinishingTeam
Gypsum • Interior • Lighting • Kitchen • Painting
Tunahudumia nyumba binafsi, ofisi, maduka, apartment na miradi mingine kwa ubora unaoonekana.
Tunatoa huduma kamili za gypsumdesigne, electricalwiring ,skimming&painting ,kitchencabnet&kitchenware kuanzia ushauri wa design, utekelezaji wa kazi hadi finishing ya mwisho. Kila mradi tunaufanya kwa umakini na ubora wa hali ya juu.
Tunatengeneza Gypsum Ceiling za kisasa zenye muonekano wa kuvutia, zikiambatana na lighting ya ndani inayoboresha uzuri wa nyumba au ofisi yako.
Kuanzia Tsh 1,500,000 / room
Tunaboresha muonekano wa ndani wa nyumba na ofisi kwa kutumia mitindo ya kisasa inayochanganya ubunifu na matumizi sahihi ya nafasi.>
Kuanzia Tsh 2,000,000
Tunatengeneza Kitchen za kisasa zenye mpangilio mzuri, cabinet design bora na finishing inayodumu kwa muda mrefu.
Kuanzia Tsh 4,500,000
Tunafanya skimming na upakaji rangi wa kitaalamu kwa ajili ya kupata kuta laini, safi na zenye muonekano wa hali ya juu.
Kuanzia Tsh 500,000 / room
Tunatoa huduma za umeme na lighting za kisasa, ikiwemo downlights, LED strips na decorative lighting.
Bei kulingana na mradi
Tupo tayari kukuhudumia kwa/We are ready to save you for Gypsumdesigns, Interiordesigns, Lighting Designs, kitchencabnet&kitchenware,Skimming and Painting; tunakuhakishia huduma bora na kwa muda sahii daima tunalinda tabasamu la nyumba yako na pesa zako mteja wetu/We guarantee you the best service and on time, we always protect the smile of your home and your money dear customer.
📞 Simu: 0764 840 447
💬 WhatsApp: 0764 840 447
📧 Email: bmlatyofficially@gmail.com
📸 Instagram: @thebm_gypsumpro_finishingteam
📍 Eneo: Mwanagati Kitunda Tanzani
⏰ Muda wa Kazi: Jumatatu – Jumamosi (08:00 – 21:00 office visitors ,work at site 2hrs)
Wasiliana nasi leo kwa ushauri wa bure na tukusaidie kubadilisha nafasi yako iwe ya kisasa na yenye thamani.
Wasiliana Nasi Sasa