Muundo wa kisasa, finishing safi na lighting ya kiwango cha juu.
TheBmservices β Thebm GypsumPro FinishingTeam tunabuni na kutekeleza gypsum ceilings, interior designs, kitchen designs na modern lighting kwa ubora wa hali ya juu, finishing safi na bei inayolingana na kazi.Tunaboresha Nyumba Yako kwa Ubora wa Kisasa TheBm GypsumPro FinishingTeam ni wataalamu wa Gypsum Ceiling, Interior Design, Kitchen Designs na Modern Lighting kwa nyumba na ofisi.
Thebm GypsumPro FinishingTeam
Gypsum β’ Interior β’ Lighting β’ Kitchen β’ Painting
TheBm GypsumPro FinishingTeam ni timu ya wataalamu wa finishing za kisasa, chini ya kampuni mama ya TheBmServices. Tunajikita katika Gypsum Designs, Interior Finishing, Kitchen Designs, Skimming & Painting pamoja na Electrical & Lighting Services. Lengo letu ni kutoa kazi bora, ya kisasa na inayodumu, kwa kuzingatia mahitaji ya mteja na viwango vya juu vya ubora.
TheBmservices β kupitia brand yetu ya Thebm GypsumPro FinishingTeam tunatoa huduma za gypsum ceiling, interior designs, kitchen designs, skimming, painting, electrical services na modern lighting kwa viwango vya juu vya ubora na finishing safi.
Tunafanya kazi kwa kuzingatia mahitaji ya mteja, muonekano wa kisasa nawakudumu. Lengo letu ni kufanya nyumba yako ionekane ya kisasa, nadhifu na yenye mvuto wa kipekee.
Pata Huduma SasaTupo tayari kukuhudumia kwa/We are ready to save you for Gypsumdesigns, Interiordesigns, Lighting Designs, kitchencabnet&kitchenware,Skimming and Painting; tunakuhakishia huduma bora na kwa muda sahii daima tunalinda tabasamu la nyumba yako na pesa zako mteja wetu/We guarantee you the best service and on time, we always protect the smile of your home and your money dear customer.
π Simu: 0764 840 447
π¬ WhatsApp: 0764 840 447
π§ Email: bmlatyofficially@gmail.com
πΈ Instagram: @thebm_gypsumpro_finishingteam
π Eneo: Mwanagati Kitunda Tanzania
β° Muda wa Kazi: Jumatatu β Jumamosi (8:00 β 21:00 office visitors, work at site 24hrs)
Tufuate/follow us on Instagram
Wasiliana nasi leo kwa ushauri wa bure na tukusaidie kubadilisha nafasi yako iwe ya kisasa na yenye thamani.
Wasiliana Nasi Sasa