TheBmservices Logo

TheBmservices

Thebm GypsumPro FinishingTeam

Gypsum • Interior • Lighting • Kitchen • Painting

Baadhi ya Kazi Zetu

Gypsumdesigns,Skimming&Painting,Lighting Designs na Kitchencabnet tulizofanya.

Hizi ni baadhi ya miradi tuliyofanya kwa wateja wetu. Kila picha inaonyesha ubora, umakini na finishing tunayojivunia kama Thebm GypsumPro FinishingTeam. Kila mradi unatekelezwa kwa ubora, umakini na viwango vya kisasa.

Hapa chini ni baadhi ya miradi ya gypsum ceiling, interior designs, kitchen designs na lighting systems tuliyotekeleza kwa wateja wetu.

Kila mradi tunaufanya kwa kuzingatia ubora, mpangilio wa kisasa na matakwa ya mteja, kuhakikisha matokeo yanaridhisha na kudumu.

Gusa picha kuona kwa ukubwa gusa picha tena kurudi kwenye albamu

Je uko tayari Kubadilisha Muonekano wa Nyumba au Ofisi Yako?

Wasiliana nasi leo kwa ushauri wa bure na makadirio ya gharama. Tuko tayari kutekeleza wazo lako kwa ubora wa juu.

Piga Simu Sasa

Wasiliana Nasi/Contact Us

Tupo tayari kukuhudumia kwa/We are ready to save you for Gypsumdesigns, Interiordesigns, Lighting Designs, kitchencabnet&kitchenware,Skimming and Painting; tunakuhakishia huduma bora na kwa muda sahii daima tunalinda tabasamu la nyumba yako na pesa zako mteja wetu/We guarantee you the best service and on time, we always protect the smile of your home and your money dear customer.

Je, unahitaji Gypsum Design, Interior Finishing au Lighting ya kisasa? Wasiliana nasi leo kwa ushauri na huduma ya kitaalamu. 📞 Piga Simu au Tuma WhatsApp Sasa

📞 Simu: 0764 840 447

💬 WhatsApp: 0764 840 447

📧 Email: bmlatyofficially@gmail.com

📸 Instagram: @thebm_gypsumpro_finishingteam

📍 Eneo: Mwanagati Kitunda Tanzania

⏰ Muda wa Kazi: Jumatatu – Jumamosi (08:00 – 21:00 office visitors ,work at site 2hrs)

Tufuate/follow us on Instagram

Pata picha na video zaidi za kazi zetu za Gypsum & Interior.

<
> Tufuate/follow us on Instagram

Je, Unahitaji Gypsum au Interior Design ya Kisasa?

Wasiliana nasi leo kwa ushauri wa bure na tukusaidie kubadilisha nyumba yako iwe ya kisasa na yenye thamani.

Wasiliana Nasi Sasa